Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Mkuu, ina maana huko Mwanza leo ni WALK TO WORK? Na huo mgomo umeanza saa ngapi? Na utadumu kwa muda gani?Hatimaye dala dala zote za jijini Mwanza zimegoma kubeba abiria kwa sababu kuwa wanaonewa sana na matrafiki!
Habari ndo hiyo.
Nawasilisha.....
Kwani mazungumzo na mamlaka husika zinazoregulate hilo soko la daladala huko yameshindikana?mtu aliye huko anadai wanataka nauli zipande lakini sishangai mwanza ni jiji la revolution kama ilivyo arusha mbeya na kilimanjaro.
mgomo ni njia ya mwisho......je wameshapitia njia zingine?
Wana point. Huu utaratibuw a serikali kuwa anayelipa kodi ndiye akamuliwe zaidi, utatufikisha pabayaWamegoma kwa sababu ya
1. Manyanyaso ya matrafiki
2. Kupandishiwa kodi na malipo mbalimbali na SUMATRA pamoja na TRA.
Wanahoji kuwa kwa nini serikali ya Tanzania inashindwa kukusanya kodi na mapato mbalimbali kutoka kwa wawekezaji kutoka nchi za nje kwenye makampuni kama Migodini, makampuni ya simu nk? Mafisadi wanapeta lkn watanzania maskini wanaohangaika ndo wanazidi kubanwa kulipishwa malipo ya mateso na manyanyaso. Wanasema sasa basi, serikali na wao na wao na serikali.