sinafungu JF-Expert Member Joined Feb 13, 2010 Posts 1,527 Reaction score 868 Feb 11, 2012 #1 Ni huzuni karibia kila Mtanzania aliyeshiba utu. tunashukuru M/MUNGU mgomo umeisha, sasa vipi kuhusu wahanga wa kadhia hii iliyoletwa ama na serikali ama na madaktari(sijui). thamani ya maisha yao yaliyopotea itabebwa na nani......?
Ni huzuni karibia kila Mtanzania aliyeshiba utu. tunashukuru M/MUNGU mgomo umeisha, sasa vipi kuhusu wahanga wa kadhia hii iliyoletwa ama na serikali ama na madaktari(sijui). thamani ya maisha yao yaliyopotea itabebwa na nani......?
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,709 Reaction score 23,149 Feb 11, 2012 #2 umeishaje? wengine tupo mbali na tz.
M mzawahalisi JF-Expert Member Joined Jan 11, 2010 Posts 752 Reaction score 238 Feb 11, 2012 #3 Tena wanahabari mtusaidie tunaomba ifanyike tathmini ya madhara yaliotokana na mgomo huo. Tungependa kujua Ndugu zetu wangapi wameppoteza maisha, ama kubakia vilema wa maisha. Nivizuri kumbukumbu sahihi zikiwekwa sahihi.
Tena wanahabari mtusaidie tunaomba ifanyike tathmini ya madhara yaliotokana na mgomo huo. Tungependa kujua Ndugu zetu wangapi wameppoteza maisha, ama kubakia vilema wa maisha. Nivizuri kumbukumbu sahihi zikiwekwa sahihi.