Mgomo mwendokasi gerezani terminal

Mgomo mwendokasi gerezani terminal

Joined
Apr 12, 2017
Posts
28
Reaction score
20
Mabasi za mwendokasi muda huu walifungiwa geti na wananchi wenye hasira kali baada ya kusubiria mabasi za mwendokasi kwa zaidi ya lisaa....wananchi waliimba "Tunamtaka Makonda" polisi waliishia kuangalia tu mabasi za mwendokasi zimezuiwa nje ya geti
20180427_202250.jpg
20180427_202231.jpg
20180427_202151.jpg
20180427_202233.jpg
20180427_202121.jpg
20180427_202210.jpg
20180427_202224.jpg
20180427_202400.jpg
20180427_202308.jpg
 
Hii Project ilishawashinda kitambo sana tatizo wabongo ni watu wa kuvumilia ndio maana uongozi wa UDART hauchukua hatua.Wana make huge profit coz mabasi ni machache abiria ni wengi
 
Siku zote mjinga ni mjinga tu ukiambiwa nenda shule unakimbilia kulima kwa jembe hujui makonda ni mkuu wa mkoa?
 
Makonda hpo wa nn swala ni mabasi na uongozi wa hiyo kampuni kuachilia mabasi machache hasa siku za wikiendi hivyo swala sio makonda ni udart na uongozi kuajiri madereva na kuachia mabasi wanapata faida lakn hawataki kuajiri ndio shida yote hii
 
Watu wa dar ni wa..se..nge sana.. sasa makonda ni nani hadi awaamrie UDART?? hili jiji naamini ndio linaongoza kwa wapumbavu wengi sana..
Makonda hpo wa nn swala ni mabasi na uongozi wa hiyo kampuni kuachilia mabasi machache hasa siku za wikiendi hivyo swala sio makonda ni udart na uongozi kuajiri madereva na kuachia mabasi wanapata faida lakn hawataki kuajiri ndio shida yote hii
Hii inadhihirisha anakubalika na wengi tofauti na propaganda za BAVICHA mitandaoni.
 
customer care yenyewe siku hizi ni ziro.
madereva sio wale waliokuwa wanatubembeleza,washaota mapembe,wagomvi,wakali.
yaani haina tofauti na daladala.
 
Mabasi za mwendokasi muda huu walifungiwa geti na wananchi wenye hasira kali baada ya kusubiria mabasi za mwendokasi kwa zaidi ya lisaa....wananchi waliimba "Tunamtaka Makonda" polisi waliishia kuangalia tu mabasi za mwendokasi zimezuiwa nje ya getiView attachment 758255View attachment 758256View attachment 758257View attachment 758258View attachment 758259View attachment 758262View attachment 758264View attachment 758266View attachment 758267
Sawa Kwa taarifa mkuu
 
mijitu ya Dar haijielewi,yani bora mwanamke kuliko vivulana vya Dar,eti makonda,who is she?
 
Watu wa dar ni wa..se..nge sana.. sasa makonda ni nani hadi awaamrie UDART?? hili jiji naamini ndio linaongoza kwa wapumbavu wengi sana..
Umesema kwel mkuuu,hawa majamaa Kwanza ndomana wanatakiwa wakimpwe tezi dume na huyu mume wao,hawjielew kabsa,sasa kweny ishu kama hyo makonda anàhusika vip, hopeless kabsa
 
Back
Top Bottom