Mgomo kivukoni.ferry

Pandamlima

Senior Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
143
Reaction score
13
Wadau nipo hapa ferry kivuko kimoja kimeondoka kwenda n'gambo kigamboni na abiria wachache sana kivuko cha MV.kigamboni wamegoma kwenda kwa kuwa watu wamejaa sana.lakini shida yote Hii imetokana na askari an aye fungua get I with walite alichelewa.na wananchi wakachukia sana....kuishi kigamboni kuna mambo
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1375197290650.jpg
    73.9 KB · Views: 317

Sijakuelewa hapo kwenye Red.
 
Sasa ndio chombo kinaondoka..ni baada ya MV magogoni kurudi toka n'gambo.yani tumechelewa sana...kuishi kisiwani ni tabu atime
 
Yaani wameenda mpaka ferry halahu wamegoma kupanda panton. Hahahahaahahahahahahaa sasa ferry wamefuata nini?

Kweli chadema inazidi kuiharibu hii nchi...
 
Nashukuru tumefika salama...combo kilijaa sana na roho ilikuwa inadunda mno
 
Ze Marco, wala hii haihusiani na siasa. Ni uzembe wa nahodha MV magogoni kuondoka bila kubeba abiria huku akijua uwezo wa MV Kgmboni kubeba namba ya watu no mdogo. Is intake kusiasisha kila jambo.
 
Mkuu Pandamlima,si mgomo,nahodha alitumia busara sana kutoondoa chombo hadi watu wapungue.Husipotoshe habari,karibu Container upate moja baridi.
 
Last edited by a moderator:
Yaani wameenda mpaka ferry halahu wamegoma kupanda panton. Hahahahaahahahahahahaa sasa ferry wamefuata nini?

Kweli chadema inazidi kuiharibu hii nchi...
we nawe hata hueleweki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…