<br />Aa acha utani bwana mi nilidhani mbunge.
Sasa kama hata wenyeviti wa vijiji watafunguliwa thread zao si itakuwa kazi ?
<br />Aa acha utani bwana mi nilidhani mbunge.
<br />Ni mheshimiwa Abel Gegecha alichakachuliwa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa kijiji cha Kaseke kigoma vijiji ,ameshinda rufaa yake baada ya hakimu kugundua taratibu zilikiukwa mpaka kumtangaza mgombea wa ccm kuwa mwemyekiti wa kijiji.Kila la kheri mh Abeli Gegecha hatimaye wananchi watampata kiongozi wamtakaye! VIVA CHADEMA!