GE2025 Mgombea urais wa ADA TADEA aingia na ngoma kuchukua fomu

GE2025 Mgombea urais wa ADA TADEA aingia na ngoma kuchukua fomu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Soma pia: Chama cha ADA TADEA chatangaza wanawake na wenye ulemavu watakaojitokeza kugombea watachukua fomu bure

Mgombea wa urais kupitia Tiketi ya chama cha ADA TADEA Georges Bussungu akiwa na mgombea mwenza Ali Makame Issa baada ya kuchukua fomu ya kugombea Katika ofisi za Tume huru ya Taifa ya uchaguzi walijiunga na kikundi cha ngoma ya Kabila la Kigogo ikiwa ni furaha na Hamasa ya mbio za kuingia Ikulu.

Mgombea huyo wa chama cha ADA TADEA anakuwa ni miongoni mwa wagombea Urais saba waliochukua fomu mpaka sasa ambaye ameweka wazi moja kati ya vipaombele vyao ni pamoja na kutengeneza uchumi wa njano wakimaanisha matumizi bora ya Teknolojia.

 
Vituko haviishi
Kuna mmoja kafika na BAJAJI Ni yule doyo anayetumiwa na wana usalama. Kupinga maandamano
 
Back
Top Bottom