GE2025 Mgombea urais wa AAFP, Kunje Ngombale Mwiru aahidi kujenga kiwanda cha saruji Mwanza

GE2025 Mgombea urais wa AAFP, Kunje Ngombale Mwiru aahidi kujenga kiwanda cha saruji Mwanza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
354
Reaction score
395
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuongoza serikali, atahakikisha anajenga kiwanda cha saruji mkoani Mwanza ili kupunguza gharama za ujenzi.

Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wilayani Misungwi, Kunje alibainisha kwamba atajenga mtambo mkubwa wa kuchonga kokoto ili rasilimali za mawe za mkoa zitumike katika kuboresha miundombinu, zikiwemo barabara.

Soma: Mgombea urais hama cha Wakulima (AAFP) aahidi kununua Helikopta kwa kila wilaya kusaidia watakaokumbwa na mafuriko

Pia, alisema atalipa fidia kwa waliyojenga nyumba zao juu na chini ya miamba katika jiji la Mwanza na kusawazisha milima hiyo, kuhakikisha wananchi wanaishi kwenye maeneo salama.

 
Back
Top Bottom