Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,151
- 1,417
Mgombea Urais kutipia chama cha TLP, Macmilian Lyimo amedai tendo la kukimbiza moto(mwenge) ni kuweka agano na shetani ambalo linakufa safari hii.Mabadiliko hayepukiki.
Akiongea na ITV, Kwenye Kipindi Cha Mtiti Wa Uchaguzi,Lyimo Mgombea urais kupigia TLP amewaasa CCM wayaongoze Mabadiriko.
Mgombea Huyo Wanasema Mabadiriko Yakiwaongoza CCM basi Kilichoko Mbele ya Taifa ni Machafuko Makubwa Haijawahi Kutokea.
Limo Wanasema CCM wakijidanganya Kutotenda Haki..Hata ulimwengu uyashangaa Machafuko.
CCM kung'oka ni Lazima na Hakuna Namna yoyote Ile.
Nyumba Ikishika Moto. Siku zote Kwenye Nyumbani na Hata Majirani watajitutumua Kuuzima Motto, Lakini Kama Paa Limeshika Moto Sio rahisi kuuzima Moto na Ni Ndoto Kuiokoa.
Motto Umeshashika Paa la Nyumbani ya CCM, Juhudi zozote, owe fedha, Nguvu or Mabavu Hakuna dalili za Kupona.