Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,499
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama NCCR- Mageuzi, Haji Ambar Khamis akiwa ameambatana na Mgombea mwenza, Everylin Munisi, amechukua fomu ya Urais katika Tume Huru ya Uchaguzi Jijini Dodoma leo August 15, 2025 huku akiahidi kuwa endapo Watanzania watamchagua kuwa Rais atahakikisha ndani ya siku 100 tangu kuapishwa kwake Tanzania inapata Katiba mpya.
Khamisi, mwanasiasa mkongwe, aliahidi kurejesha heshima ya Chama hicho kama ilivyokuwa 1995 chini ya Agustino Mrema.
Khamisi, mwanasiasa mkongwe, aliahidi kurejesha heshima ya Chama hicho kama ilivyokuwa 1995 chini ya Agustino Mrema.