Stand up comedy ya Bongo kina Mzee ShirimaWagombea wengi sahv hawana tofauti na wale jamaa wa stand up comedy
Ova
Kwa ujinga huo hakuna wa kumteka ,watekaji ndio wanafurahia maana ccm wamepata mpinzani kichaa...komedian fulani hana athari kwa upande wa mgombea wao (cccm)!Mgombea aongezewe ulinzi , ana hoja za msingi, wasije wakamteka kabla hajaingia ikulu
Hongers nyingi ziende kwa ccm na watanzania wote kwa ujumla 🤣Yaani... Maisha haya.
Sikutarajia kwenye maisha yangu nitayaona mambo kama haya!
Mtaani ni kama hakuna uchaguzi asee ni kumepoa sn
Kwamba mimi nimezaliwa 2020 sijui maana ya uchaguzi?Kampeni bado hazijaanza, kwa mujibu wa ratiba ya tume!