GE2025 Mgombea Urais Chama cha AAFP Zanzibar, Said Soud arejesha fomu ZEC

GE2025 Mgombea Urais Chama cha AAFP Zanzibar, Said Soud arejesha fomu ZEC

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mtiania wa urais Zanzibar kupitia chama cha AAFP, Said Soud Said (kushoto), akikabidhi fomu za kuomba kuteuliwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi, wakati wa kurejesha fomu hizo katika ofisi ya ZEC, Maisara, Unguja, Zanzibar leo, Septemba 10, 2025. Picha na Jesse Mikofu

Soma pia

1757504010139.png
 
Back
Top Bottom