Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,479
- 11,671
Hii siyo CCM chama kina Katiba zenye Kanuni na taratibu, wala hakuna anayehitaji ushauri wako. Nenda kawashauri wavue Gamba, Waboreshe Elimu, wawatimu Mawaziri Mizigo na kumaliza mauaji ya Tembo, na kukomesha biashara ya madawa ya kulevya
Tangu lini gamba akawa mshauri wa gwanda?tangu siasa za vyama vingi zimeanza cdm imewasimamisha kwa nyakat tofaut dr slaa na mbowe kugombea nafas ya urais. Lakin kwa bahat mbaya wanasiasa hawa hasa dr slaa wamekuwa wakimwagwa vibaya na chama dume la siasa za tanzania ccm.
Juhud zote za kudai ushindi kwa nguvu zimeshindkana na slaa kubaki kama rais kivuli au rais ambaye hakutangazwa kama wengne wanavyomwita
cdm chukueni ushauri huu: ni kweli dr na mbowe ni wanasiasa mahili lakin watanzania hawajawaamini kuwakabidh ikulu. Tafteni mtu mwingne agombee nafasi hii hata kama ni mh lema, msigwa, mnyika au hata sugu mkipenda lakin sio hawa wawil vingnevyo ikulu mtaishia kuiskia kwenye redio na magazeti. Chama kina wadau na viongozi weng mahili hebu wapeni nafasi pia
tangu siasa za vyama vingi zimeanza cdm imewasimamisha kwa nyakat tofaut dr slaa na mbowe kugombea nafas ya urais. Lakin kwa bahat mbaya wanasiasa hawa hasa dr slaa wamekuwa wakimwagwa vibaya na chama dume la siasa za tanzania ccm.

Ushaur wa kijinga huo 2010 tulishinda ila mkaiba kura 2015 humibi tena, ushaur wako km mtoto wa chakechea!! Waiz wakubwa nyie mmefanya maisha kuwa magumu, najua hp ww umeingiza buku 7 ya lumumba
Hii siyo CCM chama kina Katiba zenye Kanuni na taratibu, wala hakuna anayehitaji ushauri wako. Nenda kawashauri wavue Gamba, Waboreshe Elimu, wawatimu Mawaziri Mizigo na kumaliza mauaji ya Tembo, na kukomesha biashara ya madawa ya kulevya
Ofcourse, katiba na kanuni za chama zinataka ataegombea urais lazima awe ametokea kaskazini!
huwa mnapanic cdm mkishauriwa tatizo
tangu siasa za vyama vingi zimeanza cdm imewasimamisha kwa nyakat tofaut dr slaa na mbowe kugombea nafas ya urais. Lakin kwa bahat mbaya wanasiasa hawa hasa dr slaa wamekuwa wakimwagwa vibaya na chama dume la siasa za tanzania ccm.
Juhud zote za kudai ushindi kwa nguvu zimeshindkana na slaa kubaki kama rais kivuli au rais ambaye hakutangazwa kama wengne wanavyomwita
cdm chukueni ushauri huu: ni kweli dr na mbowe ni wanasiasa mahili lakin watanzania hawajawaamini kuwakabidh ikulu. Tafteni mtu mwingne agombee nafasi hii hata kama ni mh lema, msigwa, mnyika au hata sugu mkipenda lakin sio hawa wawil vingnevyo ikulu mtaishia kuiskia kwenye redio na magazeti. Chama kina wadau na viongozi weng mahili hebu wapeni nafasi pia
Moja, Nakerwa na uandishi wa namna hii, sijui ni kutokujua, kupuuzia au haraka zisizo na msingi?!
Pili, ingawa si mwanaCHADEMA, ila ningeuliza, huoni kama ushauri wako unawafaa zaidi CUF, UDP (no offence) maana wagombea wao ni walewale toka vyama vingi kuwepo nchini?
Kibali cha dr Silaa kiko juu,siyo wakati muafaka kuweka mwingine,
mi nimeona unawafaa cdm nawe leta thread yako uwazungumzie hao uliowataja, nkt!
chadema kamwe haitapokea ushauri wa wafu.