Mgombea Udiwani kupitia Chadema kata ya Itezi apatikana

Mgombea Udiwani kupitia Chadema kata ya Itezi apatikana

mbaswike

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
534
Reaction score
228
Leo kata ya Itezi iliyopo jiji la mbeya imepata mgombea udiwani kupitia chadema msomi mwenye degree ya sheria bwana Mayango.Mchuano ulikuwa mkali kati ya wagombea sita miongoni mwao akiwemo mchungaji Mwasongwe aliyeanza kampeni kabla ya muda.
 
Back
Top Bottom