Mgombea Udiwani CCM kata ya Ihumwa apita bila kupingwa,wagombea wa Chadema & ACT Wazalendo wajitoa | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea Udiwani CCM kata ya Ihumwa apita bila kupingwa,wagombea wa Chadema & ACT Wazalendo wajitoa

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Wakudadavuwa, Jan 2, 2017.

 1. W

  Wakudadavuwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2017
  Joined: Feb 17, 2016
  Messages: 9,299
  Likes Received: 7,852
  Trophy Points: 280
  Safari kuelekea 2020 imeanza baada ya Mgombea udiwani kata ya Ihumwa mkoani Dodoma kupita bila kupingwa. Sasa katika kata 20 za uchaguzi wa Marudio zimebaki 19.

  Naona imani ya mageuzi ya JPM inakubalika kwa kasi ya ajabu.
   
 2. Anatoy

  Anatoy JF-Expert Member

  #21
  Jan 6, 2017
  Joined: Jun 22, 2015
  Messages: 280
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kushinda kwa ccm huwa kunaacha maswali mengi.
   
 3. Mwandumi

  Mwandumi Senior Member

  #22
  Jan 6, 2017
  Joined: Nov 30, 2016
  Messages: 152
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Dodoma nani asijuwa ombaomba wakipewa elfu 2000 tu inawaosha Eti kuaminka kwa ccm
   
 4. mafimboo

  mafimboo JF-Expert Member

  #23
  Jan 6, 2017
  Joined: Oct 9, 2014
  Messages: 2,288
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 280
  Uzitulete habari za ombaomba Dodoma,ombaomba nao wanaakili ukiwa mgogo ni jambo la kusikitika,ingekuwa arusha,dar au mbaya tungeshutuka lakini kwa kina matonya
   
 5. b

  babu na mjukuu JF-Expert Member

  #24
  Jan 6, 2017
  Joined: Jun 23, 2016
  Messages: 1,210
  Likes Received: 885
  Trophy Points: 280
  Hao wa Idodomya wana afadhali sana kuliko hao bavicha waliojipa likizo ya kufikiri na kumuachia mbowe na lissu wafikiri kwa niaba yao
   
 6. DUBULIHASA

  DUBULIHASA JF-Expert Member

  #25
  Jan 6, 2017
  Joined: Nov 26, 2016
  Messages: 1,652
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  Dodoma si ndo huko kwenye hospital ya watu ambao kichwan hamna kitu..... MIMI HATA SISHANGAI
   
 7. MUSSA ALLAN

  MUSSA ALLAN JF-Expert Member

  #26
  Jan 6, 2017
  Joined: Oct 13, 2013
  Messages: 18,964
  Likes Received: 7,718
  Trophy Points: 280
  Hapa ndio umeandika nini wewe Mpofu?
   
 8. mwasita

  mwasita JF-Expert Member

  #27
  Jan 6, 2017
  Joined: Aug 5, 2016
  Messages: 340
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  Kama hii ni kweli mhhhh! Sasa kama na wanaojiita wapinzani wanahongwa na kujitoa kwenye kinyang'anyiro mnategemea sisi wananchi tufanyeje? Tukapigie kura ya hapana au? Mkiambiwa wapinzani wengi wako huko kwa sababu ya njaa au kutaka vyeo mnakataa! Hata 2020 naona njia nyeupe maana wengi wa wanaojiita wapinzani ni wapinzani hewa! Mungu ibariki Tanzania, Mungu mjaalie Rais wetu kadiri ya mapenzi yako!
   
 9. n

  ndayilagije JF-Expert Member

  #28
  Jan 6, 2017
  Joined: Nov 7, 2016
  Messages: 4,584
  Likes Received: 4,882
  Trophy Points: 280
  Hivi kwenu hawapo?wapo mpaka Jerusalem!seuse dom
   
 10. b

  babu na mjukuu JF-Expert Member

  #29
  Jan 6, 2017
  Joined: Jun 23, 2016
  Messages: 1,210
  Likes Received: 885
  Trophy Points: 280
  Mpofu wewe unaeshindwa kujitambua
   
 11. Entim

  Entim JF-Expert Member

  #30
  Jan 6, 2017
  Joined: Jun 7, 2013
  Messages: 3,323
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Ameshapishwa uchaguzi wa nini tena? haupo kapita bila kupingwa. Dodoma sisi na ccm damdam. Upinzani mpaka mwaka 2050. Ata kwa maendereo tuku juu.
   
 12. Entim

  Entim JF-Expert Member

  #31
  Jan 6, 2017
  Joined: Jun 7, 2013
  Messages: 3,323
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Yuko vizuri nampenda kwelikweli.
   
 13. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #32
  Jan 7, 2017
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Out of Topic, Hua najiulizaga;
  1) Kwanini Omba omba wengi wanatokea Dodoma
  2) Kwanini Hospitali ya Vichaa ya Mirembe ilijengwa Dodoma
   
 14. swalehe shiza

  swalehe shiza JF-Expert Member

  #33
  Jan 7, 2017
  Joined: Jun 3, 2016
  Messages: 1,106
  Likes Received: 1,632
  Trophy Points: 280
  DODOMA mkoa chakavu
   
 15. jjkundo

  jjkundo Member

  #34
  Jan 8, 2017
  Joined: Jul 24, 2016
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni wakati wa kutafakari
   
Loading...