Mgombea Ubunge wa Nyasa (CHADEMA) apata ajali

Mgombea Ubunge wa Nyasa (CHADEMA) apata ajali

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,713
Mgombea wa Ubunge jimbo la Nyasa, Cuthbert Ngwata amepata ajali baada ya dereva wake kuingia porini na kusababisha kifo cha muhamasishaji nyanda za juu maarufu kama Nindi auvPompi kutoka Mbozi Mbeya ambaye alikuwa huko Nyasa kikazi.

Ngwata na dereva wake wamejeruhiwa na wako hospitali wilaya ya Nyasa kwa matibabu lakini taarifa zisizo nzuri zinasema kuwa mgombea huyo yuko njiani akihamishwa hospitali ya Litembo kutokana na hali yake kuwa mbaya baada ya kukata kauli.

Inasemekana chanzo cha ajali ni kuwa walikutana na watu wenye silaha za moto na wakati wakijaribu kujiokoa dereva aliyumba na kuingiza gari kwenye korongo.
[h=2][/h]
Mgombea.png
 
Mungu atuepushie mbali name hay a mabalaa yanayotuandama has a kipindi hiki
 
Mungu atuepushie mbali name hay a mabalaa yanayotuandama has a kipindi hiki

Mwenyezi Mungu ampe nafuu na apone haraka ili aendeleze mapambano ya ushindi hapo October 25. Huyu ndiye mkonmbozi wa sisi wazaliwa wa Nyasa na si huyo Stella Manyanya.
 
Nawashauri wagombea wote (wa vyama vyote) wawe wanamtanguliza Mungu katika safari na shughuli zao za kampeni.

Wakifanya hivyo kila siku pamoja na kuhakikisha kwamba wanatenda yaliyo haki na kuacha hila, watakuwa salama!

Mungu awatie nguvu majeruhi wapone haraka. RIP waliofariki
 
Watu wenye sulaha za moto! Kumbe engineer manyanya anaweza pia kuiengineer ubandidu
 
Back
Top Bottom