Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,134
- 288,724
Mgombea ubunge jimbo la kyela kupitia UKAWA kamanda Mwanyamaki amewahakikishia wakazi wa jimbo hilo kuboresha huduma za afya , hususani zahanati , vituo vya afya na hospitali ili kuondoa adha ya wananchi kwenda umbali mrefu nje ya wilaya hiyo kusaka matibabu.
Inasemekana zaidi ya 70% ya wakazi wa Kyela hutibiwa nje ya wilaya hiyo .
Inasemekana zaidi ya 70% ya wakazi wa Kyela hutibiwa nje ya wilaya hiyo .