kwetu mtama
Senior Member
- Feb 5, 2015
- 160
- 25
Mh magufuli amemchagua bi samia suluhu kuwa mgombea mwenza kwa kuzingatia uswa wa kijinsia, uzanzibar na kubalance chama kupata kura upande wa zanzibar....vuai hussein mwinyi bilal kwaher...ila majian na mambo yanavyotokea ni hali ya kustajabisha kidogo maaana ni km accidentally! !!