Jay Milionea
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,185
- 154
- Thread starter
-
- #21
Achana na mambo yaliyopita wewe, jadili hoja kulingana na wakati tuliopo, kipindi chenyewe wewe ulikuwa bado hujazaliwambona kikwete alikataa na alikufaa na ukamchagua... lowassa rais 25 oct
Why did Kikwete refuse the national debate against dr Sala in 2010?...and the opposite is very true this year.
Hizo habarimza 2010 zimepitwa na wakati wewe, mmetumwa eeenh mbona timu Ukawa wote mnajibu jibu moja la kufanana la mwaka 2010 wakati huu ni uchaguzi wa 20152010 Wagombea wote wa CCM walikatazwa kudhuria midahalo ya mchakato majimboni aliyokuwa inaendeshwa na Shaban Kisu na wengi walishinnda 2015 leo UKAWA wakikataa kushiriki midahalo iwe nongwa
Acha kukurupuka wewe, hapa tunajadili hali ya uchaguzi ya sasa na sio mambo yako ya kale unayoongea hapa,Kabla hujapost kitu uwe na kumbu kumbu vizuri, tuletee kumbu kumbu ya ni lini mgombea wa ccm alishiriki mdahalo tokea kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi?
2010 Wagombea wote wa CCM walikatazwa kudhuria midahalo ya mchakato majimboni aliyokuwa inaendeshwa na Shaban Kisu na wengi walishinnda 2015 leo UKAWA wakikataa kushiriki midahalo iwe nongwa
Mtakimbia midahalo lkn mtaisoma namba tu mwaka huu mnalo mtajinyea majukwaani mpaka mukomeHilo swali muulize Kikwete atakujibu.
hata mkiikimbia lkn hapa tunawakaba mpaka mate yawakauke mwaka huu iwe fundisho na mkome kupambana na ccmtumeishi na JK aliyekimbia midahalo
Binafsi midahalo yetu ni kupoteza muda tu... facilitators wenyewe ndio haohao akina Aidan Eyakuze, Maria Sarungi,etc
Biased mwanzo mwisho
Kama imekukera kanywe sumu ufe kenge weeeMajitu Kwa Kupandikiziwa Maneno!?Ndio Maana Yaliaminishwa Kuwa Nchi Hii Ni Masikini Yakaamini.Mdhalo Si Lazima!Pumbavu!!
HAPA KAZI TUU hata kama mkikimbia midahaloHii ni hadaa tu ya maccm. Ni wangapi wenye kumiliki hizo tvs. Hilo wala haliwaokoi na kupigwa chini.
Mtakimbia midahalo lkn mtaisoma namba tu mwaka huu mnalo mtajinyea majukwaani mpaka mukome
Endelea kula posho za kuwasemea Ukawa wewe hujui lolote mbumbumbu umekalia ushabiki tu, unapelekeshwasasa kama kukimbia mdahalo ni nafuu kwenu kwanini mtumie nguvu kubwa kulazimisha mtu ambaye hataki!!! hahaaaa, watu wameshawashitukia zamani sana. Kwa mgombea ambaye eti anashangaa kuwa tuna miti mingi lakini watoto wanakaa chini!! na anaomba kura kupitia chama hicho hicho!!
unajikaba mwenyewe tu dogohata mkiikimbia lkn hapa tunawakaba mpaka mate yawakauke mwaka huu iwe fundisho na mkome kupambana na ccm
Ni vema sasa kukawa na midahalo kwa wagombea wa nafasi za urais ili wananchi wapate kuwajua zaidi hasa sera zao zikoje.
Sio busara kwa mgombea kukataa midahalo maana hiko kitakuwa kihashiria kikubwa cha kutokubalika na kukisa kura hapo tarehe 25 Oktoba mwaka huu.
NB: MGOMBEA ANAEKATAA MIDAHALO HAFAI KUWA RAIS
Ni vema sasa kukawa na midahalo kwa wagombea wa nafasi za urais ili wananchi wapate kuwajua zaidi hasa sera zao zikoje.
Sio busara kwa mgombea kukataa midahalo maana hiko kitakuwa kihashiria kikubwa cha kutokubalika na kukisa kura hapo tarehe 25 Oktoba mwaka huu.
NB: MGOMBEA ANAEKATAA MIDAHALO HAFAI KUWA RAIS
Tulishawazoea, bora niwe lofa ninayejitambua kuliko kuwa, bendera fuata upepo!! eti mdahalo ndio utakao peleka maji kijijini?? waambieni watz kwa miaka 50,mmewafanyia nini, na sio kuja na hadaa tu, mgombea ana toa ahadi kana kupita hata wapinzani!! kwanza kipindi hiki wala kilikuwa c cha kutumia nguvu nyingi rasilimali fedha kibao, mlikuwa mnapita tu na kuwaonyesha wananchi mliyoyafanya basi mnatulia, sasa cha kuwaonyesha hakuna eti mdahalo!!!ALIYEZOEA VYA KUNYONGA VYA KUCHINJA HAWEZI.Endelea kula posho za kuwasemea Ukawa wewe hujui lolote mbumbumbu umekalia ushabiki tu, unapelekeshwa
Ni vema sasa kukawa na midahalo kwa wagombea wa nafasi za urais ili wananchi wapate kuwajua zaidi hasa sera zao zikoje.
Sio busara kwa mgombea kukataa midahalo maana hiko kitakuwa kihashiria kikubwa cha kutokubalika na kukisa kura hapo tarehe 25 Oktoba mwaka huu.
NB: MGOMBEA ANAEKATAA MIDAHALO HAFAI KUWA RAIS
Endelea kula posho za kuwasemea Ukawa wewe hujui lolote mbumbumbu umekalia ushabiki tu, unapelekeshwa