Jay Milionea
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,185
- 154
mbona kikwete alikataa na alikufaa na ukamchagua... lowassa rais 25 octNi vema sasa kukawa na midahalo kwa wagombea wa nafasi za urais ili wananchi wapate kuwajua zaidi hasa sera zao zikoje.
Sio busara kwa mgombea kukataa midahalo maana hiko kitakuwa kihashiria kikubwa cha kutokubalika na kukisa kura hapo tarehe 25 Oktoba mwaka huu.
NB: MGOMBEA ANAEKATAA MIDAHALO HAFAI KUWA RAIS
Uzoefu unaonyesha kuwa wanaokataa midahalo ndio wanaokuja kushinda uraisMgombea anayekataa midahalo hatufai
Wewe acha ukilaza wako hapa tunazungumzia wagombea wa kipindi hiki cha uchaguziWhy did Kikwete refuse the national debate against dr Sala in 2010?...and the opposite is very true this year.
Uzoefu wa wapi wewe acha stori zako za kaleUzoefu unaonyesha kuwa wanaokataa midahalo ndio wanaokuja kushinda urais
Mnaogopa nyie hamna lolote eti hatutakihatutaki midahalo na sisi,nyie si mlikataa 2010,na sisi hatutaki sasa
Mnaogopa midahalo nyie hamna lolotemidahalo haina tija ndo maana hakuna hata kiongozi anayeitaka ila kwa kuwakata ngebe chama fulani mdahalo uwe wa kiingereza ili tupime kweli viongozi wetu hawatahitaji wakalimani watakapokuwa kwenye mikutano nje ya nchi
Hatuzungumzii mambo ya kale hapa wewe hizo za 2010 zimehsapitwa na wakati, hapa tunajadili mambo ya sasaHawana mpya hap...2010 kikwete alikataa mdahalo...kwani ni lazima...???? Wasubiri octoba 25..??
Mnatuogopa ndo maana hamtaki midahalo nyieCcm hamfai kabisa.