Mgogoro wasababisha mauti

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,916
Reaction score
3,748
Familia moja nchin kenya imeangamia baada ya mgororo uliodumu kwa mda. baba mwenye nyumba baada ya kupandwa na mori. alichukua acidi na kuwamwagia wanawe wawil.

Baada ya hilo alichukua acid na kumwagia mkewe na baadaye naye akajimwagia. walikimbizwa hospital lakin bahat mbaya wote walikufa.sasa familia nzima haipo tena.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…