aisee yaani NCCR naionea huruma sana, mbatia kukiua chama chake kisa ukawa, wamepoteza viti vingi vya NCCR bungeni, mtu kama kafulili tutammisi sana aisee,, inabidi NCCR wajitoe ukawa ili kujenga chama chao upya, naona joka la chadema limeimeza nccr vibaya sana,, ombi langu kwa mbatia: Jenga chama chako ili 2020 mpate wabunge wengi mjengoni, acha kutumika kuwa msemaji wa chadema na ukawa, mfikilie mtu kama davis kafulila ameanguka.
Mbatia angejiunga tu na Chadema yaishe.NCCR sawa kabisa na ACT!
Mbatia angejiunga tu na Chadema yaishe.
At first glance yes mkuu kwani wana mbunge mmoja. Lakini kiumri ni aibu kwa oldest opposition party iwe na mbunge mmoja kama youngest political party!
Kafulila hata bila Mbatia ameshinda ni zengwe kachewzewa kafanya meng jimbon mwake m/kit awepo asiwpo his pipo love him!!!!plus hvi mwenyekti na yy c alikua anagombea na azunguke mara ngap?? JK na Zitto ni wenyevti pia walizunguka nchi nzima??? Heri baba riz alikua rais ila zitto hata mama Anna alikua anamsupport????? Chama ni kipya vip ubunge na madiwan zitto aliwaombea kura!!!! Don't blame Mbatia mambo ni mengi huwez please kila mtu plus ni hyuhyu Kafulila rumour had t alikua anataka mpindua mwenzie so may be walikua na tofauti zao
Yeye kama mwenyekiti hajawai kukanyaga jimboni kwa kafulila kumpigia kampeni? Mkuu, unaelewa implication yake?
NCCR sawa kabisa na ACT!