Mgogoro wa seria na muono wake mbali

Mgogoro wa seria na muono wake mbali

Joined
Mar 19, 2012
Posts
16
Reaction score
1
[h=5]huku tukishuhudia harakati tofauti katika mataifa ya kiarabu barani afrika na kupelekea kuwaondoa madarakani viongozi wa nchi hizo kw kutumia mwavuli wa nguvu za umma la hasha ni mwavuli ule ule waliotumia iraq,misri, libya na tunisia unabadili mwelekeo na kufunika anga za seria dhidi ya serikali ya al asaad ili kutimiza azma yao. Najua ni vigumu sana kutambua na kuchambua mambo haya kwa jicho la karibu pasipo jua nia na madhumuni ya kutumia mwavuli huu wa majeshi ya kutuliza ghasia kutoka katk mataifa husika ambayo kinyume chake hutimiza malengo yao ya kibepali
[/h]
 
Back
Top Bottom