Mgogoro wa Machame na Kibosho

Naona kuna umuhimu wa hili swala kushughulikiwa kiroho,tafuta watu unaowafahamu wenye uelewa wa hayo mambo walifanyie kazi,swali,ina maana hata sasa wakibosho na hao wamashami hawaoani???
 
Nimeipenda sana hii hasa ilipotumia majina halisi ya maeneo husika.

Natamani niongezee sema nitachafua uzi mana wakosoaji hawaishiwi maneno
 
Fanya mambo kiongozi
 
Na Huu ndio ukweli unaojulikana mkuu.
 
Wakati ndo wapo busy kuhalalisha michepuko kisa Ibrahim alikua nayo hawaangalii mbele madhara ni makubwa kiasi gani
 
Uko sahihi Mia kwa mia kuzaa nje ya ndoa na mchepuko kubaya sana hata Ibrahim baba wa imani kulimpa shida hadi leo Watoto wa nyumba ndogo wapalestina na Watoto wa nyumba kubwa waisrae wanatwangana hadi leo
 
Naona kuna umuhimu wa hili swala kushughulikiwa kiroho,tafuta watu unaowafahamu wenye uelewa wa hayo mambo walifanyie kazi,swali,ina maana hata sasa wakibosho na hao wamashami hawaoani???
Mimi ni mmashami ila nimekulia mkoani. Katika mchakato wa kimaisha nikapata mpenzi mmoja mkibosho. Mtoto sio mchezo, kweli nilimpenda sana pale Arusha. Nikataka kuoa, mzee!!!!!! Baba, Mama na wajomba walikuwa 🔥 kweli hadi nikashindwa muoa Mickness wangu. Sasa nina mnyamwezi wangu maisha yanaendelea.
 
Uko sahihi Mia kwa mia kuzaa nje ya ndoa na mchepuko kubaya sana hata Ibrahim baba wa imani kulimpa shida hadi leo Watoto wa nyumba ndogo wapalestina na Watoto wa nyumba kubwa waisrae wanatwangana hadi leo
Kwa usomaji wangu wa Biblia sijaona sehemu wapalestina wa sasa i.e waarabu ni watoto wa Ibrahim toka kwa Ishmael. Naomba unisaidie Yehoyada hili limetoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…