sly boy JF-Expert Member Joined May 29, 2016 Posts 346 Reaction score 156 May 31, 2016 #1 Ndugu waligoma kumsaidia ndugu yao wakati anaumwa kwa miezi mitano bila msaada wowote, cha ajabu kafariki wamewahi vitu na kudai wanataka kumzika wakati majirani waliohangaika na mgonjwa wakiwa wameandaa chakula na wamesha chimba kaburi. Chanzo: ITV
Ndugu waligoma kumsaidia ndugu yao wakati anaumwa kwa miezi mitano bila msaada wowote, cha ajabu kafariki wamewahi vitu na kudai wanataka kumzika wakati majirani waliohangaika na mgonjwa wakiwa wameandaa chakula na wamesha chimba kaburi. Chanzo: ITV
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,913 May 31, 2016 #2 Ndivyo ilivyo mtu anaugua mpaka anakufa hata kwa kukosa pesa ya dawa tu,lakini kusafilisha maiti hata bukoba wanaenda
Ndivyo ilivyo mtu anaugua mpaka anakufa hata kwa kukosa pesa ya dawa tu,lakini kusafilisha maiti hata bukoba wanaenda
jd41 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,756 Reaction score 4,849 May 31, 2016 #3 ....majinga hayo yalikuwa yanasubiri afe,njaa mbaya sana!
The Businessman JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 7,396 Reaction score 9,264 May 31, 2016 #4 Halafu Watasema "tulimpenda zaidi ila Mungu kampenda zaidi" ..
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,798 Reaction score 29,430 May 31, 2016 #5 Duniani siyo mahala salama tena pa kuishi
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,553 Reaction score 35,424 May 31, 2016 #6 Ubinadamu kazi!
N Namahochi Senior Member Joined Jan 1, 2016 Posts 138 Reaction score 102 May 31, 2016 #7 Majirani wako right kuwakataa ndugu wa marehemu kama walishindwa kumsaidia akiwa mgonjwa hao c ndugu tena, ata marehemu alishawakataa
Majirani wako right kuwakataa ndugu wa marehemu kama walishindwa kumsaidia akiwa mgonjwa hao c ndugu tena, ata marehemu alishawakataa
KOKUTONA JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 8,651 Reaction score 6,110 May 31, 2016 #8 Wanyama wana afadhali siku hizi kuliko bin adam
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,913 May 31, 2016 #9 chakii said: Duniani siyo mahala salama tena pa kuishi Click to expand... Ni wapi huko ambako ni salama kuishi?
chakii said: Duniani siyo mahala salama tena pa kuishi Click to expand... Ni wapi huko ambako ni salama kuishi?
Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,583 Reaction score 27,838 May 31, 2016 #10 shululu said: Ni wapi huko ambako ni salama kuishi? Click to expand... Chato!
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,913 May 31, 2016 #11 Barbarosa said: Chato! Click to expand... [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Barbarosa said: Chato! Click to expand... [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]