upcoming tycoon
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 353
- 471
Wajane na watoto wao walilia eneo lao lenye ukubwa wa hekari 2 ambalo limeuzwa kwa Nahla Dev Ltd pamoja na manji. Wajane hao wamesema eneo lao hilo lililopo eneo la Temeke vetenary sokoni karibu na barabara ya port access limeuzwa kwa watu hao kwa gharama ya fedha za kitanzania bilioni 1.9 na dalali kuchukua milioni mia sita ( 600).
Baada ya wajane hao kushindwa kesi mfulululizo na wanunuzi hao ambao wamewatuhumu kutoa rushwa hivi wamepewa notice ya siku 30 kuhama eneo hilo. Baada ya kupoke notice hyo wamekwenda kwa waziri wa ardhi mh Lukuvi na jitihada kugonga mwamba, kwa waziri huyo kusema eneo si lakwao tena.