Mgogoro kutokea UKAWA

Hapa ni hoja tu. Tuache ushabiki; la sivyo wote hatuwatendei haki wana inchi wa kawaida. Mara nyingi wasomi hukosolewa kwa kujaribu kugeuza maji kuwa maziwa.
 
Mnatafuta huruma ila yote Tisa kumi tunataka mabadiliko
 
ngoja ntasoma tena baada ya uchaguzi kupita maana leo sijaambua kitu
 
Ningekuwa na uwezo ningehama nchi hadi novemba nimechoka na siasa maana hata Jf hkn threads Zaidi ya uchaguzi
 

Poor slave! Lengthy and snappy xplanation, has no evidence, you should have spent your valuable time at home with your wife and beloved children.
 
Uzuri makala yako inakiri kuwa baada ya Oct Lowassa ndie ataongoza nchi hivyo ccm kitakuwa chama kikuu cha upinzani
 
Ukumbuke kwamba kwenye list ya mafisadi iliyotolewa na Dr Slaa, na mafisadi wa Epa, Escrow nk. bado wako ccm na wanagombea ubunge
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…