Nzige Mnandi
Member
- Jan 14, 2015
- 21
- 6
Uchu na tamaa ya madaraka ndo vinavyowasumbua hao.
Nilipoanza kusoma nilidhani mtu wa maaaana kumbe ni jamaa amekimbia milembe,,,nchi inataka.mabadiliko ndugu yangu,,,ukisikia magufuli utacheka anavyomponda kikwete
CCM itazidi kushinda kutokana na kupiga vita migogoro isiyokuwa ya lazima.