Una hakika na huu umri wako?
Yeah ndo umri wangu,Una hakika na huu umri wako?
We ulitakaje kwani ili ndo uamini kuwa yemeisha? Kwahiyo hadi kaka unatolewa out unalipiwa laki ya kula na kunywa bado unahisi hayajaisha?
Au shida yako tu utusimulie kuwa binti kakutoa outing ya laki? Maana kwa maelezo yako mbona hakuna mgogoro wowote hapo
Kama hukijui, hicho ndiyo kibuti.Habari wakuu, nna mpenzi wangu ambae nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda mrefu sasa, hapo nyuma kidogo tulitofautiana kauli, na alichukizwa saana na maneno niliyomwambia, basi zimepita kama siku mbili nikamuomba appointment lengo tuweke mambo sawa, tulikutana akaniambia kwa sasa nimemvunja saana moyo kwa kile nilichomwambia, basi nikamuomba ajaribu kusahau maana binadamu tumeumbiwa makosa, akasema sawa lakini sidhani kama ntarudi kwenye hali iliyokuepo hapo mwanzo, nikamsihi saana. Ila bado akanonekana kama ana kinyongo na Mimi, ila usiku wa jana akanitoa out kwa gharama zake mwenyewe akasema nisitoe chochote tukaspend kama laki moja. Naomba ushauri wenu wakuu vipi niendeleze mahusiano nae au na mm nianze kuwa na kinyongo kama yeye?
Swali muhimu sana hili.Wewe ni me/ke... tuanzie hapo kwanza
Tatizo binadamu ni wabishi sanaKuna mambo yanafurahisha sana...
Habari wakuu,
Nina mpenzi wangu ambaye nimekua nae kwenye mahusiano kwa muda mrefu sasa, hapo nyuma kidogo tulitofautiana kauli, na alichukizwa saana na maneno niliyomwambia, basi zimepita kama siku mbili nikamuomba appointment lengo tuweke mambo sawa.
Tulikutana akaniambia kwa sasa nimemvunja saana moyo kwa kile nilichomwambia, basi nikamuomba ajaribu kusahau maana binadamu tumeumbiwa makosa, akasema sawa lakini sidhani kama ntarudi kwenye hali iliyokuepo hapo mwanzo, nikamsihi saana.
Ila bado akanonekana kama ana kinyongo na Mimi, ila usiku wa jana akanitoa out kwa gharama zake mwenyewe akasema nisitoe chochote tuka-spend kama laki moja.
Naomba ushauri wenu wakuu vipi niendeleze mahusiano nae au na mm nianze kuwa na kinyongo kama yeye?
Ndo uhalisia mkuuKumbe ndivyo ulivyo. Sawa.