mgogoro kati ya "Samsung" pamoja na "Apple" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mgogoro kati ya "Samsung" pamoja na "Apple"

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by g.n.n, May 29, 2012.

 1. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Asubuhi ya leo nilijaribu kutembelea site ya DailyTech nikakutana na hili kati ya haya makampuni ya "Samsung" pamoja na "Apple" kuhusu products zao.

  Kuelewa zaidi juu ya hili fanya kubofya HAPA
   
 2. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  WW jamaa chai sana unatangaza blog yako nn? Hakuna chochote ulichoandika bali ni kupoteza muda. Nilidhani nakutana na site ya Daily Tech kumbe chai tupu.
   
 3. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  yaah
  umeongea vizuri kumbe bado sijaiva kk uandishi wa blog kama umeona kosa lingine fanya kuniandikia hapa ili next time isiwe chai sijui unapenda nini wewe labda itakuwa soda au bia au maji au juice karibu tena kwa maoni bwana Biohazard.
   
Loading...