Mgogo classic a.k.a wizzy, rapper Bora chipukizi kwa sasa

Mgogo classic a.k.a wizzy, rapper Bora chipukizi kwa sasa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,814
Reaction score
60,685
Video zake NImeziona tik tok na istagram unaweza kuzitafuta.

Ingekuwa Nchi nyingine angeshakuwa super star ila kwetu nimekubali Sanaa ya ukweli na mziki mzuri bado haufahamiki kwa watu wengi.

Mziki hisia mziki maisha hongera mgogoclassic nakuombea support kwa wadau wenye kujua thamani ya uwepo wa hip hop keep it up mzee bado hujachelewa wenye uwezo kuwekeza hela wawekeze binafsi nakiona kichwa kipya Cha hip-hop tz

#mgogo classic
Screenshot_20220331-200643.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom