silver star
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 447
- 119
ENEO LA UCHIMBAJI WA DHAHABU (MGODI) LINAUZWA MKOA WA TANGA
Eneo lipo wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga na lina ukubwa wa Hekari 330.
Eneo lote limepimwa na hekari 165 zina hati ya wizara (Title Deed) na 165 zingine zina Hati ya Kimila.
Utafiti umefanyika na ripoti ya kitaalam inaonyesha kua eneo lote lina dhahabu kwa zaidi ya 85℅
Eneo pia limepewa leseni na shughuli za uchimbaji wa dhahabu zinaendelea ingawa uzalisha upo chini kutokana na ukosefu wa vifaa vya kisasa.
Bei ya eneo lote ni USD-1mil na Maongezi yapo, kwa anayehitaji kuwekeza kwa makubaliano maalum anakaribishwa.
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia;-
Call: [emoji1542] +255-766-280-952