Mgo t fogott o

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,278
Reaction score
44,414
Ni karibia tarehe 23 mwezi huu jolla watazindua sailfish yao os itakayokuja kushindana na windows phone, android na ios. Its sad ukiskia story yao hawa jamaa walikua waajiriwa wa nokia waliotengeneza maemo ambayo ikazaa meego harmattan.

Meego ni muunganiko wa maemo na linux na harmattan ni upepo unaopatikana west africa. Meego inatumiwa na simu moja tu yani nokia n9. Balaa lilianza baada ya steve elop kuwa ceo wa nokia na kuamua kuachana na meego na symbian na kuopt os ya waajiri wake wa zamani yaani windows mobile.

Project ya meego ikafungwa na wale jamaa wakaachishwa kazi lakini nokia kuwahurumia wakawapa meego waiendeleze.

Why nasema meego ni forgotten hero? Hii os ndio imegundua vitu vingi tunavyoviona leo lakini ndo inamilikiwa na watu 50 ambao hata kupatent vitu hawawezi hela ya kutengeneza os yenyewe wanaomba omba na hivi ni baadhi ya vitu hivo

notification bar
Kama una android, nokia asha touch, iphone lazma unaijua hii inakaa juu ya simu wengine wanaiita drop bar na ukiswipe kuja chini inashuka na kukuonesha notification kama updates na downloads. Hii feature ni ya maemo na kama kuna mtu ana nokia 900 atakua shahidi wa hili lakini leo google wanaclaim ni yao nani wa kuwatetea meego na maemo?

swipe ui
The great the mighty samsung with swipe ui kila mtu anawapraise na technologia yao kumbe ni copy cat swipe ui ipo zamani kwenye nokia n9 angalia hii image na kama kuna mwenye n9 ni shahidi wa hili

Nani analisema hili? Blog na website zote kimyaaaa

mult screen
Moja ya feature mpya ya android 4.2 ina mult screen yani unagawanya screen pande mbili let say moja unaangalia video nyengine unabrowse kila blog na website wanaipraise do they say wamecopy meego? No hawasemi ila ni feature ya meego


Am not sure jolla watatuletea nini but i hope ntakua mmoja wa mmiliki wa simu zao maana meego ni os yenye endless posibilities
 
Leo ndo nalijua hili kwa mara ya kwanza ila nimetumia sana Nokia N9 naipenda sana Meego imetulia kwa kweli.
 
hadithi ya kusisimua kutoka kwa mtaalam wa symbian now meego.
 
hadithi ya kusisimua kutoka kwa mtaalam wa symbian now meego.

Haha nokia mwenzie microsoft ila meego yenu nyie mnaopenda linux na ubuntu maana imetengenezwa kwa madude hayo
 
mm cjawah tumia meego coz kauchumi bado haka aford kununua n9 but symbian nmesota nayo sanaaa mpaka leoooo but next time lazma niungane na chief kwenye kutumia meego (sailfish) staki inipiteeeeeeeeee:rockon:
 
mm cjawah tumia meego coz kauchumi bado haka aford kununua n9 but symbian nmesota nayo sanaaa mpaka leoooo but next time lazma niungane na chief kwenye kutumia meego (sailfish) staki inipiteeeeeeeeee:rockon:

Tena inaanzia china spati picha bei yake
 
yap mkuuu.. na kama ikiwa open source nadhan kna g tide na tecno watahamia hkoo. coz nature ya symbian na meego sio nzito sanaa kama androids.. na kama unavyojua mchina hapendi kuweka v2 vingi thats y simu zao si ghali sanaaaaaaaa
 

Nawakubali sanaaa, sijatumia meego, ila nimetumia maemo5 kwenye nokia n900, the best os nimeshatumia kwenye simu so far

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
chief-mkwawa,
Umetisha mbaya naona unazama kwenye mambo ya Merging Moblin na Maemo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…