Yani mkuu nikiona comment yako nakumbuka....raundi ya 23 iyo jitaidini jamani....ya 22 iyo....hahahaha,wakaongeza na zao 7 kutoka kambini mpaka majumbani mwaoo
Duh nilicheka sana
Ha ha ha ha ha ha Mkuu bhana usahau tu? Nimefurahi kusikia kwamba kumbe uliburudika kabisa na ile story yangu ya Kutukuka ya mwana Sanga Sanga aliyenifanyia tukio la aina yake huko Yombo.