Alfa Juma
Member
- Jun 27, 2016
- 20
- 8
Hodiiiiii humu ndan. Kwaheshima nataadhima nimeamua kuingia humu ndan ya JF, Kabla yayote napenda kutoa salam kwawale woote wenye kustahili kupokea salam yangu, shikamooni mabwana kwa mabibi, me nimgeni humu ndan hata mazingira zijayafaham. naombeni sana ushirikiano wenu. Ila naomben sana msinifunge kamba mguuni, natambua kuwa anaestahili kufungwa kamba mguuni ni kuku mgen, ila me nibinadam jaman, nimatumain yangu mtanipokea kwa furahaa Ahsanten sanaa