Mi ndio maana napendaga kutulia kwangu, imagine unaenda ugenini upikiwe biringanya mchuzi na dona.....jesusss!!!!!!epuka kukaa ugenini kadri uwezavyo,
kukataa chakula usichokipenda huwezi,
kuongeza chakula huwezi,
mgeni hutakiwi kua wa mwisho kula😂
unaishi kwa aibu aibu
Aiasee!Mi ndio maana napendaga kutulia kwangu, imagine unaenda ugenini upikiwe biringanya mchuzi na dona.....jesusss!!!!!!
eboo! umeenda kufanya kazi pesa umepewa na chakula unataka upewe.. ukisikia njaa nenda nunua chakula rudi fanya kazi. kwangu hakuna bajeti ya fundi utakula adv.yako nikulipe na chakula nikupe hovyo kbsLeo tuzungumze kidogo kuhusu chakula hasa kwa wageni wanao tutembelea iwe kwa shida ama kwa raha,
Kuna nyumba zingine ukizitembelea haumalizi wiki unachoka kukaa
Sababu ni wenyeji wako kutokujali muda wa kula au ni kama umeshiba au lah! Hauulizwi kabisa
Au wanapika chakula ambacho wewe hujazoea kukitumia
Nakumbuka mwaka Jana nilienda kufanya kazi ya wring sehemu, nilianza kazi asubuhi saa mbili nipo juu ya dalii lakini mpaka saa 8 tumboni ni empty ile kazi nilitaka isilale lakini ilibidi niilaze tu.
Na baada ya kufunga kazi ndo nikaona wanatenga msosi ilibidi tu nile ili nipatie nguvu za kunifikisha nyumbani,
Ushauri wangu unapokuwa na mgeni nyumbani kwako hakikisha au jitahidi awe anashiba na kula kwa wakati pia,
Hata msibani pia kama unajua Kuna wageni wa kutoka mbali hakikisha unawajali kuhusu chakula sio mpaka mazishi saa 10 huko.
Utashiba kwa mkeo, ukitaka kula kwa wakati beba hela zama mgahawa jaza ujazwe. Watu tuko bize vichwa vinachoka mchakamchaka wa kujitafuta....na tumbo lako tena liwe moja ya mawazo yangu kweli????
Wiki kwa watu unatafuta nini kwanza ndugu mgeni rasmi.
Ugumu wa maisha unachangia hasa kwa watu wa daslaam Wana roho mbaya kweli wanakula ugali wa kupima kwa dukani kwa machame na mroso.kibaya zaidi wanasukumia na maboga ya natembele jamani mnakula malando nyinyi.sisi kwetu usukumani hayo natembele a.k.a ni chakula ya mbuzi.
Njoeni kwetu usukumani mjionee jinsi tunavyowajari wageni.
Ukiomba maji ya kunywa unaletewa maziwa mtindi na mambatiyo ma viazi matamu ya kuchoma kwenye shikome Cha mbatiyo Cha mashi ga ng'ombe.wewe ukija hautatamani kabisa kurudi ng'wani kwenye mautumbo na maguru ya kuku ya kukaanga
Nashaur msibani kusipikwe kitu[emoji120]Leo tuzungumze kidogo kuhusu chakula hasa kwa wageni wanao tutembelea iwe kwa shida ama kwa raha,
Kuna nyumba zingine ukizitembelea haumalizi wiki unachoka kukaa
Sababu ni wenyeji wako kutokujali muda wa kula au ni kama umeshiba au lah! Hauulizwi kabisa
Au wanapika chakula ambacho wewe hujazoea kukitumia
Nakumbuka mwaka Jana nilienda kufanya kazi ya wring sehemu, nilianza kazi asubuhi saa mbili nipo juu ya dalii lakini mpaka saa 8 tumboni ni empty ile kazi nilitaka isilale lakini ilibidi niilaze tu.
Na baada ya kufunga kazi ndo nikaona wanatenga msosi ilibidi tu nile ili nipatie nguvu za kunifikisha nyumbani,
Ushauri wangu unapokuwa na mgeni nyumbani kwako hakikisha au jitahidi awe anashiba na kula kwa wakati pia,
Hata msibani pia kama unajua Kuna wageni wa kutoka mbali hakikisha unawajali kuhusu chakula sio mpaka mazishi saa 10 huko.
Vipi kama ametoka kwake asubuhi sana na maeneo anapofanyia kazi hakuna mgahawa ?We jamaa una mshipa wa kula na mlafi
Uache kula kwako utegemee kwa wenzako
Dar maisha magumu ungebaki mkoa ujilie dona lako safi
Umenichekesha lakini umeongea ukweli kabisa .Ugumu wa maisha unachangia hasa kwa watu wa daslaam Wana roho mbaya kweli wanakula ugali wa kupima kwa dukani kwa machame na mroso.kibaya zaidi wanasukumia na maboga ya natembele jamani mnakula malando nyinyi.sisi kwetu usukumani hayo natembele a.k.a ni chakula ya mbuzi.