Mgeni Huyu Mgeni

bhageshi

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
264
Reaction score
101
Wana JF mie nipo mbari saaaaaaaaaana na vituo vya burudani sehemu nilipo labda mzizimkavu ndio anaweza fika maana yeye hutafuta mizizi ya tiba mbadala. Naomba mwenye link iwe youtube, daliymotion au yeyote ile ya huu wimbo wa Mgeni ulioimbwa na John Komba na kundi zima TOT. wimbo huu hunikuna sana hasa shooting yake we acha kabisa lile toto lenye nguo nyekundu likitikisa tikisa ule u---ja. Nisaidieni niweze download huku nilipo niburudike mwenzenu...Mgeni amekwenda kukaaa chumbani, chumba cha baba na mama, mgeni ameumwaga upupu baba na mama wanajikuna------
 
Hivi ukisikiliza wimbo ule kweli unakuwa na hamu na hiyo jinsia kweli?..makubwa!
 
duh, kwa hiyo mkuu ule ujumbe wa wimbo haukugusi kabisaaaaaaaaaaa...ila hilo toto lenye nguo nyekundu ndio unalitaka kuliona linavyotingisha.......kweli kupambana na huyu mgeni ni kazi.
 
tehetehetehe-----C kihivyo, na huo ndio upupu sasa nataka niuwangalie kwa makini ili niuweke kwenye memory yangu jinsi unavyofanana ili nisije changanya, c unajuwa tena kitu ukikijuwa wala hakikusumbui tena.
 
Wadau wakiukosa Tafuta YOUTUBE za Commedy walipokuwa Channel 5 Walishauimba Huku Mpoki akimuigiza J Komba Na Moustach Wake Utaipenda...

Mgeni huyu kila anayegusa Kwaheri
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…