Huyu Mgeja kachemsha, utachimbaje dhahabu itoke dhahabu pekee? migodi mingi duniani (kama si yote) ya dhahabu huwa inatoa na fedha na shaba kwa kiwango fulani.
Wameshindwa kuelewana nini tena? Kuna mtu karushwa hapo
Nimependa fikra zako katika zama hizi za utata mtupu...ukiona mtu anakuwa mkali sana jaribu kuchunguza uone
Wameshindwa kuelewana nini tena? Kuna mtu karushwa hapo