ndugu yangu Kipipi , wajua sisi tupo karibu na shamba la umeme , ivyo haukati ovyo mpaka kipindi cha mgao , sasa mgomo ukianza ka mashine kangu ka kusaga hakata fanya kazi ntakosa pesa ya kulisha watotoSie huku kwetu umeme usipokatika siku hiyo.......mbona tutashukuru sana?!!
Mi nimefikiri ni hitilafu kumbe ndio ule upuuzi wa kizembe umeanza!
Tangu saa nne usiku hatuna mpaka sasa hatunaga umeme!
Unamaana gani Mkuu? Ni sehemu nyingi tu mambo hayo yalitokea...​radio mbao
Sie huku kwetu umeme usipokatika siku hiyo.......mbona tutashukuru sana?!!
hata arusha ulikatika jana usiku umerudi leo sa mbili asubuh