Mgawo wa bia/lager

Mgawo wa bia/lager

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
20,456
Reaction score
36,471
NIMEPTA SEHEMU NIKAKUTA HUU MJADALA

"...Mgawo wa maji tuliukubali na tumeshazoea kununua kwa madumu,

Mgawo wa umeme tukaumiaaaa mwishoe tumezoea,

ukaja mgao wa mafuta huu ukawagusa wengi na makelele yakapigwa taratibuuuu unafanyiwa kazi japo hatma haijulikani.....

Naskia sasa unaofuta ni mgawo wa Bia aka LAGER! hapa sijui itakuaje maana ndio inawasaidia watanzania kuzisahau shida za migawo.

BASI WAKITAKA KUJUA AKILI ZETU WATOE BIA KWA MGAWO!"
 
Mama D bana unatafuta visa maana Asprin huo ni msamiati kwake
 
Dena hawezi kunywa bia anakunywa soda

Mi nilisha jiandaa kuweka stock ya bia home

Sante sana ndo maana nakupenda si unakumbuka fanta pineapple pale Rombo View ha ha ha ha ha usiku mwema bana
 
Back
Top Bottom