Mgawanyiko wa Bunge la Katiba.

Mgawanyiko wa Bunge la Katiba.

andrew tezie

Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
13
Reaction score
2
Kwa namna mambo yalivyo katika Bunge la Katiba ni wazi kwamba zoezi hili limekwisha ingia dosari.Uzinduzi wake ulionekana kuwa wa kichama zaidi badala ya kubeba sura ya kiserikali,na huo ndio ulikuwa mwanzo wa kuharibika kwa zoezi zima.Je kwa namna mambo yalivyo tunategemea Katiba ijayo kuungwa mkono au kutuletea mpasuko?
 
Subiri mpasuko mwingine wakati wa maboresho ya serikali mbili najua wazanzibar watatoka bungeni
 
Kwa kweli tusubiri tuone hatima ya yote.Kwa upande wangu ningependa zoezi zima lisitishwe,kabla mpasuko haujawa mkubwa.Wahusika wanatambua kuwa zoezi limefeli ila wanashindwa kusitisha kutokana na gharama zilizotumika.
 
Back
Top Bottom