Mgao wa umeme watikisa Kilimanjaro

Malata Junior

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
3,104
2,550
licha ya shirika la umeme Tanesco kutoa taarifa kwamba hakutakuwa na mgao wa umeme nchini kufuatia kampuni ya kufua umeme ya songas kuzima mitambo yake kwa sababu ya kuidai Tanesco,kwa siku tatu mfululizo kumekuwepo na mgao wa umeme wa kimyakimya mkoani Kilimanjaro! Umeme imekuwa ukikatika SAA mbili asubuhi katika maeneo mengi na kurudi saa kumi na moja jioni.Tunaomba Tanesco na waziri wa nishate wawe wawazi badala ya kuendelea kudanganya umma.
 
Back
Top Bottom