Mgao wa umeme Mwanza umeanza au?

Mgao wa umeme Mwanza umeanza au?

wakulichomeka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
517
Reaction score
142
Tokea juzi kuna sehemu kukiwa na umeme sehemu nyingine haupo, najiuliza kuna mgao wa kimya kimya au?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Jiongezeeee tu mkuu... Muongoo si wamemtimua Sasa Hv Tanesco ipo ipo tu.. hiii nchi bhna
 
Hii nchi inamaigizo sana kwann waweke mgao bila kutangaza imekua nchi ya wahuni hatuna viongozi bali tuna vibaka

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom