Mgao Wa Umeme Kimya Kimya Jijini Arusha

Mgao Wa Umeme Kimya Kimya Jijini Arusha

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Habari wana Jamvi?

Kuna Mgao unaoendelea kwenye Jiji la Arusha Takriban Sasa ni week Nikiongea na Wanajiji wa Arusha wamekwazika na kitendo hicho na wao kukifananisha na Hujuma kwao.

Kwenye pitapita yangu Maeneo Tofauti ya Jiji la Arusha Kuanzia Njiro, Themi, katikati ya Jiji, Sakina, Sanawari, Mbauda na Kwamrombo wakazi wa Maeneo hayo wamelalamika na kusema hizi ni Hujuma maana ni week sasa umeme wanawasha na kuzima na wamepata Hasara ya vitu vyao kungua na kuharibika.

Natumaini Tanesco Ujumbe huu utawafikia

Chanzo: Mwandishi Maalum
 
Issue iliyo sabsbisha tatizo la Umeme ni hilo
Feeder ya Themi 3 iliyotoka kwa mlipuko kwenye panels, baada ya patrol kwenye laini mafundi wamegundua kuwa wezi walikuwa wanakata cable ya Themi 2 ambayo imeungwa kwenye Themi 3. Baada ya mlipuko wamekimbia na kuacha msumeno. Mafundi wamerekebisha kwenye panels na cable, na wateja wote wana umeme.
Leo hii tunailaumu Tanesco na Wakati chanzo ni wananchi wenyewe
Fungua hiyo picha uone kilichotokea
 

Attachments

  • IMG-20150619-WA0053.jpg
    IMG-20150619-WA0053.jpg
    81.5 KB · Views: 37
Back
Top Bottom