Mgao wa umeme Arusha umeanza kimyakimya

Mgao wa umeme Arusha umeanza kimyakimya

updater

Senior Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
125
Reaction score
37
Katika hali isiyo ya kawaida leo ni ka siku ya tano Umeme Arusha unakatika bila ya kupewa taarifa na shirika husika. Hivi CCM na mafisadi wake wataacha lini huu mchezo wa kutaka kutulazimisha kununua majenereta yao?
 
wapuuzi sana hawa fisiem halafu TRA wanapita kukagua kama unalipa kodi na wakati biashara haziendibila umume, mashine za EFD baadhi nazo zinatumia umeme, unaambiwa kama hakuna umeme andika risti ya mkono umeme ukirudi ingiza hizo risiti kwenye mashine, hivi hizi garama zote za nini na kwa nini wanatesa wananchi uwe na kitabu cha dharura kwa garama zako, nchi hii inamateso machungu sana kuliko kukimbizana na IS.
 
Ila Arusha kwa mgao ni balaa nimekaa mwaka niliona kama miaka 15 shida umeme na maji pia
 
Back
Top Bottom