Mgao sakata la ESCROW

Mgao sakata la escrow ulikuwa 40.4 kila mtu, aliyochukua 160 mil. waligawana 4 na aliyechukua 80.8 waligawana 2, wawaonyeshe waliowagawia

Kuna kitu unatakiwa ukijue;
Watanzania hawana interest ya kujua mgao ulikuwaje, interest kubwa ni nani aliyepata mgao huo?
 
Hili lina ukweli kabisa. Tazama mgao, kama si 80.8 ni 40.2M kuna ukweli kabisa. Na hili nimejiuliza muda mrefu. Watajane.
 

Yani hapa umesema ukweli mtupu, hakuna mtu mnafiki kama Mengi. Huwa anapenda tu yeye awe juu na kufitinisha watu. Ni mkwepa kodi mzuri sana bila hivyo asikuwa na hela hizi. CCM walifanya kosa sana kumkumbatia lakini Nyerere alikuwa hataki hata kumsikia. Ni mtu wa kujipendekeza kwa viongozi ili aonekane ni mwema kumbe ni nyoka. Ila watu wengine wanajua ni mtu mzuri. Muhongo kachukua vitalu alivyokuwa anachimba madini bila kulipa kodi, leo hii anamfitinisha kwa wananchi ili tumuone Muhongo mbaya. Siipendi CCM lakini Muhongo ndiye Waziri pekee ninayemkubali.
 

Siiuoni kabisa uhusiano wa Mengi kumng'oa Muhongo na makosa ya kizembe aliyoyafanya huyu prof, hivi kua dalali wa kampuni binafsi, kurusu hisa kuuzwa kihuni na ukwepaji wa kodi wa kampuni ya PAP bila kusahau kuruhusu pesa za Escrow kuchukuliwa BOT wakati bado kuna kesi mahakamani, hapo Dr. R. A. Mengi anaingiaje? Muhongo ajilaumu mwenyewe kufanya vitu kama mtu ambae hakusoma, asitafute huruma na kusingizia watu.
 
Nchi hii inaonekana anayelipa kodi kwa uaminifu ni mfanyakazi tu.Vyama vya wafanyakazi mnayaona haya?
 
Tatizo ni Kwamba Mengi kaamua kukomaa na Mhongo peke yake kisa alimnyima Vitalu vya Gesi pia alimnyang'anya Vitalu vya madini ambavyo alikuwa anavimiliki akawa halipi Kodi wala kuvuendeleza, Hili sakata linawahusu Majaji, Waziri wa fedha,Gavana, Waziri wa viwanda na biashara,mkurugenzi wa Tanesco, mwanasheria mkuu nk , Lakini cha Ajabu huyo Mengi kamshupalia Mhongo peke yake hao wengine hawaoni kabsa.
 
Tatizo huyo Mzee kaoa Mjukuu wake na sasa amekuwa ndiye mshauri wake mkuu.
 
Heshima kwenu wanajamvi !
Heri kwa sikuuu ya Xmas na Mwaka mpya 2015

Harbinder ameonesha ni namna gani alivyo mwananaume wa shoka,watu wenye dhamana wanaogopa kufanya maamuzi ya maana juu ya ESCROW kwa kwa kulinda maslahi ya Taifa, kisa ni huyu Singa na washarika walionufaika na Issue nzima ya IPTL/ESCROW.

Kwa namna ilivyo Harbinder Seith Singa ni mtu mwenye nguvu mpaka kiasi Dola inahofia,vyombo vyote ikiwepo Mahakama ,vimewekwa mfukoni na huyu mtu, watuhumiwa walio wengi wa hii Saga hii hawajaguswa.Kwa hoja hiyo huyu bwana anastahili kupokea pongezi,naam huyu ni mwanaume wa shoka,mpaka Serikali inamtetemeka ,na kuogopa hata kutekeleza maazimio ya Bunge!!!

Naam,Tanzania tu mambo haya yanawezekana,Ingekuwa China kwa issue kama hii tayari tungekuwa tunashuhudia misiba na maombolezo ya watu kunyongwa. Ila Tz kwa vile ipo kwenye AUTO PILOT mambo haya yanaonekana kama comedy ya akina JOTI na BAMBO.
Ningekuwa na muda wa kutosha ningetunga shairi la kumsifia Harbinder Seith Singa kwa namna anavyoichezea Serikali.

Congratulation Harbinder for keeping our government in your Pocket.But I wonder how great your pocket is? Enough to keep our government in your pocket ? Keep it up Harbinder.
Nawasilisha kwa kejeli moyoni naumia.
UKANA SHILUNGO,
Likizoni Masasi.
 
Kwa hiyo turudi nyuma tuangalie huenda kuna kodi nyingi tu hazikulipwa kwenye mambo ya kuuzina shares
 

Mkuu kweli hiyo ni kejeli!! Mfuko wako ni mkubwa kiasi gani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…