A Andrew123 JF-Expert Member Jun 2, 2012 8,281 10,794 Jan 3, 2017 #1 Yapata miezi miwili sasa,naona kama TANESCO wameanza mgao kimya kimya (bila taarifa). Mwenye kujua utadumu muda gani anitaarifu.
Yapata miezi miwili sasa,naona kama TANESCO wameanza mgao kimya kimya (bila taarifa). Mwenye kujua utadumu muda gani anitaarifu.