Mganga,mganga,mganga.......... ...

Mganga,mganga,mganga.......... ...

M4C ARUSHA

Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
38
Reaction score
4
Mganga wa jadi toka tanga ,yupo jijini dar es salaam anatibu magonjwa mbali mbali kwa ktumia dawa za asili yaani miti shamba hususani mizizi kwa wanawake wenye matatizo ya uzazi pamoja na wanaume wenye maradhi kama hayo sambamba na presha kisukari,na maumivu ya mgongo wasiliana naye kwa namba

0765 512 030
 
Mganga anahusikaje na mambo ya M4C? ?
 
waganga wenzako wanabandika 'vibango' vyao kwenye miti na nguzo za umeme! kajaribu huko maybe!
halafu una dawa za pesa za majini, ndoa siku tatu, kusafisha nyota, dawa ya kumuita aliye mbali na ile ya kujikinga mtu asinasiane na mwenzi asiye wake?
 
Nyie mjibuni mjibuni Mtaalamu shauri zenu! Mmmesahau ya Daimondo na Ustaadh wa Kigogo. Akirudi kwenye kiringe chake kushtaki kwa wazee jamvi mtaliona chungu hili!

Mtaanzaje kumsaka Ma Paka Paka!!!!!!!!!!!
 
ha ha ha, duuu kaazi kwei kwei!
 
Yesu ndiye mganga wa kweli, jina la bwana libarikiwe
 
Back
Top Bottom