kuna wapambe wake akitoka tu utakiona cha mtema kuni........
akitoka lazima atatuandikia risala ndeeeeeefu............. ikiwa na masikito,huzuni,masimango,kuonewa na kudhalilishwa
huruma imemfikie ndungu mwenyekiti akiwa jela
tatizo hapendi kushauriwa ila ni mwalimu wa kushauri wenzake
Akirejea tumkataze kwenda Siasani, ana aleji napo!
kuna wapambe wake akitoka tu utakiona cha mtema kuni........
akitoka lazima atatuandikia risala ndeeeeeefu............. ikiwa na masikito,huzuni,masimango,kuonewa na kudhalilishwa
huruma imemfikie ndungu mwenyekiti akiwa jela
tatizo hapendi kushauriwa ila ni mwalimu wa kushauri wenzake
Mara kadhaa Baba V amekua mnasihi mahiri kwangu, na kwa members wengine namna ya kua mvumilivu na mashambulizi ya matusi mitandaoni.
Tangu matokeo ya uchaguzi wa Kenya , nami nimejikuta nacheza sana na politiki.
Nilichokiona sana kule jukwaa la politiki, mifano michache ni kama : > Wewe mpumbavu kaa kimya.
> Wewe mbulula.
> Wewe kilaza na ukoo wako.
> Wewe una matatizo ya afya ya akili.
> Usifikiri kupitia m.as.ab.uri (makalio).
> Usiniletee upumbavu wako mi nimesoma zaidi yako au tuwekeane c.v.
Huku kwenye maneno kama haya nadhani ndipo ndg yetu huyu panapomsababishia ban za mara kwa mara!
Kilichonipelekea niandike Sredi hii, ni ambavyo yeye kua mhamasishaji, then yeye kutojihamasisha. Ni kweli mganga hajigangi .
Pole Baba V.
na cha kushangaza wala hana mpango wa kujirekebisha
mwenyekiti balaa huyu lol!
inabidi liandaliwe darasa maalum
kwa ajili ya Baba V!
Kuna watu wanaudhi kule Passion Lady, tena ingekuwa tunaruhusiwa kuingia humu na sime au bastola, majeruhi wangekuwa wengi sana
Kuna watu wanaudhi kule Passion Lady, tena ingekuwa tunaruhusiwa kuingia humu na sime au bastola, majeruhi wangekuwa wengi sana