Kama wewe hujui mapenzi yako,mganga atajuaje?.Hizo pesa ulizomuandalia mganga,nunua nguo na chakula peleka mahospitalini na kwenye vituo vya kulea yatima.Ukiweza usiwasahau na wafungwa
Nunua gari Kali halafu uwe nanza kutosha ...muhonge sana demu unaemtaka...hawezi kukuacha...tumia akili...ndo maana niliwahi kusema akili INA nguvu kuliko uchawi..mfano ninagombania demu mmoja na MTU mwenye mawazo kama yako..wewe ukatumia uchawi halafu Mimi nikatumia akili...Mimi nitamchukua huyo demu..Mwisho wa siku hakuna dawa ya mapenzi