Mgambo vs Mbeya City, kutoka Mkwakwani

Mgambo vs Mbeya City, kutoka Mkwakwani

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,356
Mchezo wa raundi ya sita, Ligi kuu Bara ulioahirishwa jana kutokana na uwanja kujaa maji unarudiwa leo hapa Mkwakwani.

Mpira umekwisha, Mgambo wanaibuka na ushindi wa goli 2-1 na kupanda hadi nafasi ya sita. MCC wanabaki pale pale walipo...
 
Dakika ya 30+, Mgambo wanaongoza goli mbili bila...
 
Mpira ni mapumziko, sisi moja wao bila...
 
Mbeya city kumbe ilikuwa nguvu ya soda.

Mkuu kinachoendelea hapa mkwakwani ni kwamba watu wote wa tanga wameungana kuishangilia Mgambo kwa nguvu isiyo ya kawaida. Unajua kwa nini? Eti Bin Slum kawasaliti kwa kuidhamini Mbeya city. Na leo kwa jinsi nionavyo, hawa mbeya city wanaweza kula hata tano.
 
Kaseke anaturudisha moja, bado robo saa mpira uishe... Goli zuri sana!
 
Mbeya city naona butua butua. Ila huu uzi wa Mbeya city wa msimu huu nao umetulia.
 
Mpira umekwisha, Mgambo wanaibuka na ushindi wa goli 2-1 na kupanda hadi nafasi ya sita. MCC wanabaki pale pale walipo...
 
Hawa Wanakyusa naona wanaelekea kule walikotoka mwaka jana ligi daraja la kwanza,,
 
Siku zote tulikuwa tukiyatamani mapinduzi ya mpira, ndo haya kuna vigogo vitashuka daraja!!!
 
Back
Top Bottom